Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ni uchaguzi au takataka ya kukihamishia chama ndani ya jeshi la polisi ?Jana CCM tulikua na uchaguzi kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC-Arusha.
Hatukuweka bendera hata moja njiani ila kulikua na wanachama wenye sare pekee.
Na huu Ndio Ukweli Najua ni Mchungu sana kwa wale viwiliwili wa LumumbaTunachagua viongozi wanaoenda kupambana na Serikali siyo CCM maana CCM ilishakufa..
Kamanda salamu sana..Kila la heri CHADEMA mpya.
Mkuu wanazidi kujipamanua kuwa ccm ndiyo polisi ni vitengo tu...Ule ni uchaguzi au takataka ya kukihamishia chama ndani ya jeshi la polisi ?
CCM hawajawai kuwa na Uchaguzi bali wanakuwaga na UchafuziUle ni uchaguzi au takataka ya kukihamishia chama ndani ya jeshi la polisi ?
Kamanda salamu sana..
WanajisafishaNasikia TBC wapo Live pia.
Karibu sana jukwaani KamandaMkuu wanazidi kujipamanua kuwa ccm ndiyo polisi ni vitengo tu...
ccm kilishakufa wanachofanya sasa hivi nikutafuta uugwaji mkono na baadhi ya taasisi kujaribu kujinasua tayari jeshi la polisi wamesha litia mikononi...CCM hawajawai kuwa na Uchaguzi bali wanakuwaga na Uchafuzi
Nimeshakaribia mkuu...Karibu sana jukwaani Kamanda
Hakika !Tunachagua viongozi wanaoenda kupambana na Serikali siyo CCM maana CCM ilishakufa..
Nimekusoma hapo juu sijaamini! Kwahiyo unaona Mwambe ndio wajumbe wamkabidhi chama? Una profile yake au umeona jina limekupendeza?
Mkuu ulipotea mpaka nikahisi labda uliunga mkono juhudi! Kumbe Upo?Polisi Tanzania wamefanyakazi ya kukitangaza chama jana...
chagua baba hauzuuliwi
Mwambe ndio nani kwani?Cecil Mwambe ni damu mbichi japo wahenga wanasema mpini mpya husababisha machacha na njia mpya haikosi visiki na miiba.
Freeman Mbowe ni damu ya mzee japo wahenga wanasema uzee si busara na ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi.
Wakati tunasubiri matokeo rasmi, unadhani kwa siasa za awamu ya tano, nani anafaa kupeperusha bendera ya uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani?