U
Hilo ndio tatizo lenu,mkipata tatizo mnataka kulinganisha na ccm
Nyie mmelipia ukumbi sio kuchafua mazingira kwa mibendera
Hata wewe ungefiti kwanini hujachukua?Wameweka mgombew boya
lema, lissu would fit that position
Wakutumwa wote nje.Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachokita na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe!
Nenda kapate habari za Mbowe kwa Magufuli maana ndiye mwenyekiti wa chama mwenzie ambaye anasumbua kichwa chake na ndiye pekee ambaye kagoma kumpa sifa za mgongo wa chupa hata wakiwa pamoja umbali wa kurusha ngumi.
Zitto mwenyewe aliyefukuzwa ameridhika na adhabu ile kwani anajua alivunja kifungu gani cha katiba na ndio maana hujawahi msikia akilalamikia kufukuzwa kwake.Hakuna mtu wa kumtoa Mbowe kwenye kiti anachokita na baada ya Uchaguzi kumalizika, Mwambe atafukuzwa ndani ya CHADEMA!
Yaliyomkuta Zitto mwaka 2014 yanaenda kumpata Cecil Mwambe!
Swali zuri, lakini pamoja na kuwa sio najibu swali hilo nadhani kilichokuwa kinafanywa ni kudhibitisha wagombea ili kama kuna mjumbe ana pingamizi aliweke lijadiliwe ili apitishwe au akwamishwe.Aulizaye ataka kujua: Molema, mbona hamkutupa kura zilizopigwa na walivyopata washindani wa leo ie Mbowe alipata ngapi na Mwambe aliata ngapi?
Ya siri....... Ikiwa ya wazi Mbowe atabwagwa mapema kabisa!Kura itakuwa ya wazi au siri?
Sijaoa kwa mtei
Mkuu wagombea wawili tu yule padikikizi alikimbia, amebaki pandikizi mwingine, naye atakatwa tu. Hisia zako negative peleka kwa mkeo
Waislamu wepi? Wale wa mahakama ya kadhi? Au wale wanaodai haki ya kuchinja vitoweohiki chama kitachukua muda sana kushika dola mpaka kitakapowashirikisha waislamu nao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimjibu Huyo anataka kututoa nje ya mstariWaislamu wepi? Wale wa mahakama ya kadhi? Au wale wanaodai haki ya kuchinja vitoweo