PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
ccm wanajenga majengo, viwanja vya uporaji, pesa ni ya uporaji, harafu mnawasifia.
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
Kila jambo na wakati wake
ujinga huo hata hamjielewi km mnaibiwa....
We Kipanga mla mizoga, yaani hujui kwamba mali za CCM zote ni mali ya watanzania tuliokuwepo toka enzi ya chama kimoja? Hadi sasa bado hatuja fanya 'auditing' kujua ni kipi CCM wamemiliki kabla na baada ya vyama vyingi. Ni issue ndogo anyway, wakati mwafaka ukifika tutadadavua.
Kama toka 1977 leo ndo wanajenga, je CDM ya 1990 watatakiwa kujenga lini?Kama si uzalendo wa waasisi wa CCM leo hii kila mali mlizochuma toka TANU wangekuwa nazo mafisadi wakubwa ndani ya lichama lenu.
Kweli manyinyiemu na manyinyiemu tuu..miaka 38 ya uhai wa ccm ndo mnakuja na jengo...hapo mmesaidiwa na richmond, epa, kiwila, escrow na sasa mabehewa feki......
Kama toka 1977 leo ndo wanajenga, je CDM ya 1990 watatakiwa kujenga lini?
Kama ulisoma hesabu jibu
Mkuu usiseme hivyo. Unakumbuka ilisemwa hata ikibidi wananchi kula nyasi watakula ila ndege ya raiskununuliwa ni lazima? Ile ndege inafanya nini leo! Iligharimu kiasi gani!/ Ni shida.hawawezi kujenga hata wakikaa miaka 100 maana wao wamewekeza kwenye kuruka na chopa kila siku,
...
Bado anazungumzia jengo jipya na kushuguli pia ya kukodisha jengo hilo, anasema CCM inaviwanja vingi na vingine wakubwa wanagawana. ...
CHADEMA maskini hebu na nyie tuonyesheni jengo lenu.
Ruzuku sijui huwa mnapeleka wapi.Majengo hamjengi kutwa kuzurura mabarabarrani na magari ya kifahali
Jengo hilo jipya halitakuwa tu likitumika kwa shughuli za chama bali hata kukodisha kwa watu kwa shughuli mbalimbali...
Bora wqnapora wanajenga vikaonekana sio nyie ambao mnakodi na hela za ruzuku mnakopeshana nyambafuuu