Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Do you think so?UKAWA kazi kwao maana wamerahisishiwa kazi.
Hakuna Episode niliyokuwa naisubiri kwa hamu kama hii,hapa ndio tutajua nani kidume nani dhaifu. Ukimwaga mboga namwaga ugali,hapa Mkwere kashamwaga Ugali sasa ni zamu ya Mamvi kumwaga Mboga.
WAMETUWEKEA BABA MDOGO!!
IS THIS A FAMILY COUNTRY?
WAJUMBE WA NEC SUSIENI UJINGA HUU,THIS IS QUIET NOT FAIR!!
CHAGUO LA WENGI NI LAZIMA AREJESHWE!!
WE ARE NOT A SULTANATE COUNTRY!!
MKAPA,MWINYI SAIDIENI KUTUONDOLEA UDIKTETA HUU!!
THIS IS TOO MUCH!!/
**DEMOKRASIA ITUMIKE ZAIDI WENGI WAPE**
**TAIFA INAELEKEA WAPI? ENDAPO DEMOKRASIA INAPUUZWA**/ii
ukawa wakiacha ubinafsi wakajipanga vizuri mwaka huu ni wao....
Do you think so?
Kwa tume hii na sheria hizi za uchaguzi bila kusahamu enforcement agency.
Mtazamo wako unahitaji uvumilivu mkubwa kifikra!
Na hicho ndicho ninachokihofia na pia nimeshangaa sana January kapitaje hapa.
Kwa unafiki wa ccm msitegemee lolote litatokea kwa lowasa, utasikia naheshimu maamuzi Over!
Tatizo watu wanaangalia.Membe Vs Lowassa....Wanasahau kama kuna Magufuli pia...Kwani hao kina mkapa hawakuwemo? Sio lazima membe kuna magufuli pia
Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina
Hali ya mzee inaendeleaje???
licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.