Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

UKAWA kazi kwao maana wamerahisishiwa kazi.
Do you think so?

Kwa tume hii na sheria hizi za uchaguzi bila kusahamu enforcement agency.

Mtazamo wako unahitaji uvumilivu mkubwa kifikra!

Hebu iangalie na kuisoma body language ya bosi wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa, Jaji Damian Lubuva kwa Rais Kikwete!

Nadhani utaelewa maana ya kile ninachokisema!
 
Hakuna Episode niliyokuwa naisubiri kwa hamu kama hii,hapa ndio tutajua nani kidume nani dhaifu. Ukimwaga mboga namwaga ugali,hapa Mkwere kashamwaga Ugali sasa ni zamu ya Mamvi kumwaga Mboga.

Kwa unafiki wa ccm msitegemee lolote litatokea kwa lowasa, utasikia naheshimu maamuzi Over!
 
Hakika Mh. John P Magufuli anafaa kabisa kuongoza hii nchi bila chenga maana ana maamuzi magumu na hii nchi bila maamuzi magumu haiendi.
 
WAMETUWEKEA BABA MDOGO!!

IS THIS A FAMILY COUNTRY?

WAJUMBE WA NEC SUSIENI UJINGA HUU,THIS IS QUIET NOT FAIR!!

CHAGUO LA WENGI NI LAZIMA AREJESHWE!!

WE ARE NOT A SULTANATE COUNTRY!!

MKAPA,MWINYI SAIDIENI KUTUONDOLEA UDIKTETA HUU!!

THIS IS TOO MUCH!!/

**DEMOKRASIA ITUMIKE ZAIDI WENGI WAPE**

**TAIFA INAELEKEA WAPI? ENDAPO DEMOKRASIA INAPUUZWA**/ii

Kwani hao kina mkapa hawakuwemo? Sio lazima membe kuna magufuli pia
 
Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina
 
Pasco pole it was expected sema mapenzi na watu ambao walichomekwa mkawa mnawaona wanawaunga mkafanya underestimation ,ningepewa hata dk 05 tu za kuongea na EL ningemshauri ahame chama mapemaa kabla hata ya aibu hii haijamkuta,ACT is open for lowasa
 
Last edited by a moderator:
Kwani hao kina mkapa hawakuwemo? Sio lazima membe kuna magufuli pia
Tatizo watu wanaangalia.Membe Vs Lowassa....Wanasahau kama kuna Magufuli pia...

Na hajui kama akina Mkapa..Mwinyi et al ndo wanaunda Baraza la ushauri la wazee
 
Atakayechaguliwa kati ya hao ni mwanamke mark my words, na only kutafuta sympath ya wapiga kura ambao wengi ni wamama, vilevile hao wamama hawana makundi kama january na membe. Hawawezi kumpitisha membe wala january sababu wanajua italeta makundi na mpasuko since kuna uhasama na team lowassa. Lazima wapige chini makundi..... mtanikumbuka kwa hili. Next presidency candidate from CCM is a woman and my guts tell me ni Amina

hapo ndo watajifukia kabisa kwenye jeneza lao. Si unaona makinda anavyombwela
 
licha ya kuwa na watu wanaoonekana wana mipango mizuri lakini Lowasa hakutambua janja hii?? Naona mpasuko mkubwa ndani ya CCM baada ya hapa.

Bahati mbaya wafuasi wa Lowassa ni watu wanaongalia maslahi, tegemea leo hiihii watu hao mmoja mmoja taratibu wameanza kuwapigia simu waliopitishwa,tusubiri tuone wale wa ukweli kama Serukamba wapo wangapi.
 
Back
Top Bottom