Mamaaaaaaa!!
Hapo kwangu ni Magufuli tuu, hao wanawake wamepitaje hapo na huyo Membe ana tofauti gani na Lwasa?
Kama hawampitishi Magufuli, na-vote UKAWA. Very simple!
Alafu Kikwete asi-force mambo, anataka aendelee kuwa rais kupitia Membe, HAIWEZEKANI. pia waache kukariri kuwa ukiwa foreign minister ndo uwe mpeperusha bendera wa sisiemu!
MAGUFULI ALL THE WAY kama wanataka ushindi maana anakubalika ndani na nje ya sisiemi!