Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Dah...!!

Balile ameumia sana...

I can tell from his facial expression & movement of gestures...!!
 
Ati membe ndo anaenda kupita duh! ukawa lazima mtafunga gori kwa kidole.
 
Walitangaza leo star tv watakuwa live kutoka dodoma,Kupitisha jina moja mbona kimya?
Au wanaogopa mwenye taarifa tafadhali.

bado kuna kikao cha halmashauri kuu...mkutano mkuu baadae
 
Mheshimiwa Edward Lowassa ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa hana taarifa yeyote hivyo ataongea mara baada ya kikao kikuu cha kamati kuu ya ccm Taifa na kuwataka wafuasi wake wasiwe na wasiwasi juu ya taarifa na fununu zinazoendelea

TeamLowassa 2015 - 2025
 
CCM hata wakimleta malaika hawafai kupewa nchi tena.... Labda wakae pembeni mifumo iwekwe vizuri kwanza..!#
 

Hutaki ukabila wakati chama chenu ndio kinaleta ukabila?
 
Edo forever....!!!

Dr. Slaa chaguo langu la Pili...!!!

Wakimwacha Lowassa, CCM inakufa leo leo... Ukawa mapema wanachukua usukani....!!!

Lowassa nenda kokote UTASHINDAAA...

Tena ukitoka mapema hii kuwa Upinzani wananchi watazidi mara kumi ya sasa kukufuata, najua ww ni SHUJAA WA TAIFA LETU...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…