Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
tupeni update
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walitangaza leo star tv watakuwa live kutoka dodoma,Kupitisha jina moja mbona kimya?
Au wanaogopa mwenye taarifa tafadhali.
Dah...!!
Balile ameumia sana...
I can tell from his facial expression & movement of gestures...!!
Ufinyu wako wa mawazo unakuchora ni namna gnai hufai kwa ujenzi wa taifa na ukombozi wa wanyonge.
Watanzania hatutaki itikadi za ukabila.
Baada ya kuvunja utemi na uchifu, hatuhitaji kuongozwa kwa misingi ya makabila au makanda. Tanzania ni moja. Tunamtafuta kiongozi sahihi wa Tanzania bila kujali anatoka kanda gani, yeye ni rangi gani, au dini gani.
Hayo mambo mambo ya kutengeneza itikadi za migawanyiko kwa watanzania hatutaki!. Sisi sote ni taifa moja!.
Zamu ya baba mdogo urais. JK amefanya watanzania mazuzu kweli. Kura zote kwa ukawa!Ati membe ndo anaenda kupita duh! ukawa lazima mtafunga gori kwa kidole.
Wawarudishe watu wa watu...
Huyo membe nasikia ni ndugu na kikwete so wanataka kuridhishana.