Uliyoyafanya ni mengi.
Tukianzia na St Thomas, tukaja kwenye uteuzi wa jk, na kwenye kampeni za Lowasa!. Bila shaka dunia ya mafisadi itakukumbuka. Mafisadi walikupenda lakini Mungu ameipenda zaidi Tanzania.
Ulitoka Msumbiji, na msumbiji utarudi.
Mzee upumzike kwa utulivu.
Hakuna mjumbe wa Ccm zaidi ya lowasa mwenyewe ambaye anaweza kusema hana imani na Jk hakuna coz whatver atakaye sema hilo ana majanga makubwa hizo ni mbwembwe tuu hakuna mjumbe anayeweza kusema hana imani na Jk
umechambua vizuri..
Kwa taarifa yako mleta mada Magufuli ni mwizi kama hao wengine. Ngoja uone nondo
NDUGU YANGU MFAMAJI.
ALIYE MSAFI AWE WA KWANZA KURUSHA JIWE!!!!
Queen Esther
Ndio Janja ya Kikwete kuwaondoa Wazee kamati kuu ...SASA mambo HAPA yote alipokuwa anapanga angemshirikisha mwinyi NA mkapa .,wangemshauri vema
huyo jamaa na mtu wake wamefika wapi, ameingia tano bora? Hilo ni kundi la mafisadi, turejea Ubongo terminal. Tulitegemea kwa umri wake awe mshauri leo tunashudia kupapambana kumsaidia fisadi mwenzake.

Mwovu mwisho wake ni anguko la aibu, kwaheri babu