Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Kumekuwa na nyuzi mbalimbali zimeanzishwa hasa ua tukio hili muhimu ya mgombea. Naomba kuelekezwa kupata hizi habari mbalimbali nafanyaje kwani kila nikifingua nakuta mada ileile. Nawasilisha!
 
Yan mkuu nimepgwa na butwaa kuona mwiz analiliwa et aje afanye mambo ya maana.. hv kwenye hcho chama kuna mtu wa kulilia hapo

Nchi ya majuha hiyo. Tuliilaumu sana timu ya watu wanaotuchagulia" rais; leo hii kamati kuu imeungama, imejitenga na kundi hilo, watanzania badala ya kusapoti eti tuko busy kumlilia fisadi lowasa. Damn enough
 
Ingia playstore diwnload application inaitwa livestream ina logo nyekundu kama ubawa ukimaliza signup na akaunt yako ya facebook. Then next next mpaka mwisho kwenye bar ya search andika CCM .hapo utapata live yanayoendelea dodoma .note Bundle isiwe unlimited 3g inahusika kama huna uhakika tumia mtandao wa zantel 1.5gb kwa 1000. Piga *149*07# chagua no3 3g internet weka number ya hiyo laini mfano. 0777287654 chagua no3 1.5gb per day kula raha
 

FYI, JK yuko close na Asha kuliko Membe. See who he picked as his FM when he first got power, See who picked as pick for UN chance we got from Secretary General, See who he picked as Mbunge wa kuteuliwa mara baada ya kurudi from UN, see who he picked as Minister to oversea all important constitutional changes immediately after that, see who he asked to go around Tanzania with Kinana,see who he specifically keep closest for the last 10 years of his tenure. None other than Asha Rose Migiro. Huyu Asha, JK alipokuwa ankuja UK 2006 mara baada ya kuapishwa ndio alikuwa anamwimba Baba-baba.., Huyu mama asingekuwa na Mume JK angeshamuoa Kama mke wa 3 n.k, wana mahaba ya dhati.ni kama kaka na dada, naamini wanaaminiana kiasi cha kutosha.

Kwa kifupi JK amewaweka mtu kati, mkikimbia NCHALE, mkichimama NCHALE.

Huyo Magufuli mwenyewe ambaye haonekani close na JK ndio Mfuasi wake muaminifu kuliko woooooooooooote. Hajawahi kumkosoa JK hata mara moja. Everything JK can showw off for kafanya Mafuguli. Alipoenda kuchukua au kurudisha fomu Magufuli alisema mapungufu yoyote ya Serikali?NO. MIGIRO je NO...., sasa utasemaje unamkomoa JK kwa kuwachagua hao wawili?

hapa tushaingizwa mkenge kwa miaka mingine 10. Ni kutulia tu wakati tunanyolewa, unless UKAWA do the needful
 
Mbona umekuwa mkali sana

tatizo mzee amemwaga hela kununua baadhi ya watu chini ya mwavuli wa'wananchi'. hakuna mwananchi wa kawaida dom anayelalamika zaidi ya hao wajinga wachache walionunuliwa kuvuruga taratibu
 
Hiyo habari yako iwekee nyama kidogo. Ilivyo hivi si rahisi kueleweka
 
Aisee, nimecheka sana...

we jiulize mkuu vitto vyake voyte vimetawanyika viko mbali na vingine vimekufa lakini huyu panya bado analazimisha kurudi..na waliomtoa wameshika mikuki na kila aina ya zana mda wowote wanaweza kumshughulikia huyu panya....na hapo alipo tayari amekanyagwa mkia..mi nadhani akubali yaishe...sasa mimi najiuliza huyu ni panya au nguchiro...
 
Makamba=M
Magufuli=M
Membe=M

Asha-rose=A
Amina=A

MMMAA; Hapa ni mambo ya M na A tu!
 
Hiv sasa vurugu zinaweza kutoke maana taarifa nilizopata si nzuri kwa wanasafari ya matumaini kuachwa kwenye mataa.
 
Wanapiagana kwa kutaka kumkomboa mtanzania wa hali ya chini au wanapigania maslahi yao binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…