FYI, JK yuko close na Asha kuliko Membe. See who he picked as his FM when he first got power, See who picked as pick for UN chance we got from Secretary General, See who he picked as Mbunge wa kuteuliwa mara baada ya kurudi from UN, see who he picked as Minister to oversea all important constitutional changes immediately after that, see who he asked to go around Tanzania with Kinana,see who he specifically keep closest for the last 10 years of his tenure. None other than Asha Rose Migiro. Huyu Asha, JK alipokuwa ankuja UK 2006 mara baada ya kuapishwa ndio alikuwa anamwimba Baba-baba.., Huyu mama asingekuwa na Mume JK angeshamuoa Kama mke wa 3 n.k, wana mahaba ya dhati.ni kama kaka na dada, naamini wanaaminiana kiasi cha kutosha.
Kwa kifupi JK amewaweka mtu kati, mkikimbia NCHALE, mkichimama NCHALE.
Huyo Magufuli mwenyewe ambaye haonekani close na JK ndio Mfuasi wake muaminifu kuliko woooooooooooote. Hajawahi kumkosoa JK hata mara moja. Everything JK can showw off for kafanya Mafuguli. Alipoenda kuchukua au kurudisha fomu Magufuli alisema mapungufu yoyote ya Serikali?NO. MIGIRO je NO...., sasa utasemaje unamkomoa JK kwa kuwachagua hao wawili?
hapa tushaingizwa mkenge kwa miaka mingine 10. Ni kutulia tu wakati tunanyolewa, unless UKAWA do the needful