Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

huu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.
 
Wewe...Lowasa angeingia tano bora angepita na kuwaacha wengine kwa mbali sana. Bora walivyomfyeka kwny kamati ya maadili maana hata kule CC jina lake halikwenda kabisa...
Naomba mechi na wewe mkuu
 
Kimweri,
Ile nafasi ya dsg-un ni Ban KiMoon mwenyewe ndiyo anateua.

Mhusika hateuliwi wala hapendekezwi na Raisi wa nchi anakotoka.

na hiyo ilitokea mara baada ya mzee mahiga kuwa mwenyekiti wa baraza la usalama la umoja wa mataifa aliyehakikisha moon anapata uungwaji mkono mkubwa na nchi za africa (from AU) na za huko kwao moon...nakumbuka wakati wa mkutano wa sulivan hapo dar migiro alikuw akama mc na alimudu kweli... cha ajabu hata mahiga amekatwa ..
 

duhh hataree kununuliwa kubaya sana
 
Hao wafuasi wa lowassa wametulia jamani.? Huyu jamaa namshangaa sana wewe mtu umeshaondolewa na vikao kwanini ung'ang'anize?
 

I second your point of view ..
 

kama ndo hivyo,hebu mkutano mkuu usogezwe siku tano mbele tuone kama hawajaukimbia mji
 
Hawa wajumbe wa mkutano mkuu vipi? Yani kila anaeulizwa anasema yeyote atakayeletwa tunampitisha hiki chama vipi?
 

Anayeuzika ni MAGUFULI TUUUU!
MWENYEKITI JIHADHARI SANA USIUE CHAMA!

..magufuli ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali.

..ana kashfa nyingine ya kukaidi ushauri na kuvunja kituo cha mafuta mwanza. Serikali ilihukumiwa kulipa 14 billion. Mramba amefungwa kwa kutia hasara ya bilion 11.

..pia ana kashfa nyingine ya samaki wa magufuli.

..huyu mtu hana busara na pia ni dikteta. Wewe mfuatilie matusi ya chini-chini anayotupa kwa vyama vya upinzani.

..Magufuli ni mpenda sifa, mkurupukaji, na asiye na staha ktk kauli zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…