Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesikia wapi?
Kipi kinaendelea hapo dodoma? Tupeni update plz
polen sana ccm sasa hv hatuhitaji fisadi.
Wewe utakua mchepuko wa................ subiri ushindi wa mchepuko wako ndo msherehekee vizuri!
Naomba mechi na wewe mkuuWewe...Lowasa angeingia tano bora angepita na kuwaacha wengine kwa mbali sana. Bora walivyomfyeka kwny kamati ya maadili maana hata kule CC jina lake halikwenda kabisa...
Kimweri,
Ile nafasi ya dsg-un ni Ban KiMoon mwenyewe ndiyo anateua.
Mhusika hateuliwi wala hapendekezwi na Raisi wa nchi anakotoka.
sisy wote hao hawana nauli za kurudi makwao...sasa hapo unavyosikia wanarusha rusha miguu na mateke wanataka walau wahakikishiwe kuwa twatarudishwa makwao..leo asubuhi wamepewa tangazo la kusitishwa kwa chakula na malazi na pia nauli za kurudi makwao wajitegemee...tangazo hilo wamepewa baada ya ntu wao KUKATWA
Wafuasi wahuni wa lowasa wanaleta fujo.naomba polisi wadhibiti hali hii mapema.
Timu Lowassa sio kwamba wanalia na Membe hivi hivi tu, ni kwa sababu wanajua Membe akichukua Urais wamekwisha..Hii inawapa wasiwasi zaidi kwa sababu Usalama wenyewe wamegawanyika. Hii ni hali ya hatari sana kuliko watu wanavyoifikiria lakini nina hakika chama hakiwezi kuchukuliwa mateka na kundi dogo la watu walolelewa na chama. Imefika wakati nchi yetu irudishe UZALENDO wake na pengine imefika tunahitaji Dikteta, mtu wa Usalama wa Taifa kwa sababu hatuwezi kuwa na makundi ndani ya chombo hicho!.
Shukran JK na maadam wewe bado rais wa JMT, Utalindwa. Imefika wakati sheria na kanuni za Uchaguzi wa wagombea Urais na Ubunge zitungwe na kusimamiwa na NEC sio vyama vya siasa.
sisy wote hao hawana nauli za kurudi makwao...sasa hapo unavyosikia wanarusha rusha miguu na mateke wanataka walau wahakikishiwe kuwa twatarudishwa makwao..leo asubuhi wamepewa tangazo la kusitishwa kwa chakula na malazi na pia nauli za kurudi makwao wajitegemee...tangazo hilo wamepewa baada ya ntu wao KUKATWA
Anayeuzika ni MAGUFULI TUUUU!
MWENYEKITI JIHADHARI SANA USIUE CHAMA!