kuna tetesi nimezipata kwamba kura zimekuwa ngumu ndani ya NEC,asilimiq 90 wamepiga hapana,kura zinarudiwa mara ya tatu sasa na mijadala ni mikali,wajumbe ni kama hawamwogopi jk,labda kwa vile muda wake umekwisha,mkutano mkuu unaweza kufanyika kesho kitu ambacho kitayapa makundi muda wa kuzungukia wajumbe wa mkutano mkuu na kujiimarisha zaidi
Mbona sijaona wala kusikia akizomewa.....
kingunge hamna anachoongea amezeeka akili anashindwa kutofautisha chama na serikali! si ajabu anaempambia kakatwa tena.mazingira ya kuwakata baadhi ya wagombea yalijengwa mapema,na viongozi waliopo serikarini....
Tulipewa kupitia msikiti wetu. Hata kanisa la jirani poa walipata.
Ina maana huko zinapigwa kura za ndiyo na hapana siyo za kutaja jina la unayempendekeza?
Ni kweli.
Aende zake huyu mzee,hawezi kutuchagulia rais fisadi ambae ananuka kuliko hata kinyesi cha nguruwe. Wao Kama wanaona ameonewa wahame Chama milango iko wazi na tunawatakia kila la heri. Hata waende wapi hatumpi urais Lowassa
umebadili avatar kabisa...
kuna uzi humu,jamaa kakamatwa na fuko la hela St.GaspaMkuu umeshuhudia gawiwoí-½í¸?
Mkuu JK ana uwezo mkubwa sana, usisahau kwamba yeye bado ni Rais wa nchi hii, huyo magufuli atapozwa kwa uPM, Amina ni Makamu kwa kuzingatia gender na uzanzibar wake. Makamba ni mtoto wa JK chochote atakachoamriwa na JK yeye atakubali tu. After all yeye ni naibu waziri, hata akipewa kawizara kanamtosha.
Rais ni Mwanausalama Bernad Membe.
Raisi ni Membe. Wale 'wenzetu' Bora muanze kumsapoti mapema.