halafu ujue magufuli kama hajaamini hivi..yaani ameokota embe dodo chini ya mwarobaini....
Raisi ni Membe. Wale 'wenzetu' Bora muanze kumsapoti mapema.
Naisubiria kwa hamu xna hyo tatu bora ili tujue nani ataingoza tanzanini kwa awamu ya tano
Chama kimenifurahisha mkuu...kumnasua papa mla watu si kazi ndogo. Naahidi kukisapoti chama pale kinapoamua kufanya maamuzi mazito.
Chama kimenifurahisha mkuu...kumnasua papa mla watu si kazi ndogo. Naahidi kukisapoti chama pale kinapoamua kufanya maamuzi mazito.
Jipime akili...
Gwajima ya nn hapa?
wazee wengine ni laana