Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapa Arusha mjini Waarusha waliokuwa wanamsubiri Lowassa ili awakabidhi maduka na mashamba na nyumba za wachagga waliposikia ameenguliwa wametaharuki eti CCM imejichinjia baharini. Mungu asante kwa kumtosa huyu Hitler aliyedhamiria kuwaweka wachagga kwenye concentration camp
 
halafu ujue magufuli kama hajaamini hivi..yaani ameokota embe dodo chini ya mwarobaini....

Kwa wale walioajiriwa ukipewa barua ya kuajiriwa kusema unaambiwa "You have to be royal to the employer"

Hiki ndicho kimepatia hiyo 5 bora.
 
ukawa ndo habari ya mujini, hapa kama nawaona viongozi wa ukawa wanavyosheherekea ushindi
 
huyu mzee ni mpuuz sana. i am sorry to use the word mpuuzi. aliyeangalia bunge la katiba, huyu mzee alitumiwa kutumiwa ujinga acha umtafune.
 
Kukatwa kwa EL ilikuwa ikijulikana mapema nadhani ndiyo maana Paul Makonda na @Nape wakawa na ujasiri wa kumtukana live mzee wa watu
 
Last edited by a moderator:
Chama kimenifurahisha mkuu...kumnasua papa mla watu si kazi ndogo. Naahidi kukisapoti chama pale kinapoamua kufanya maamuzi mazito.


hiyo signature yako na wewe uko team wema?..back to topic..ilikuwa ni lazima panya atolewe ndani ya mtungi....
 
Huyu babu nae aka RIP. hajui miaka anayoishi ni above 70 manake amekopeshwa na Mungu. muda huu si wa fitna kwa mzee kama kingunge bali ni wakati wa kuitengeneza njia ya kuiendea pepo.
 
Chama kimenifurahisha mkuu...kumnasua papa mla watu si kazi ndogo. Naahidi kukisapoti chama pale kinapoamua kufanya maamuzi mazito.

Hakuna uamuzi mzito pale.
Ni maslahi tu, wewe unawezaje kuzuia nguvu ya wengi? Kama si kubeba treni mgongoni.
 
Back
Top Bottom