Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Usilalamike sana Mkuu, Kula yako wape UKAWA.
 
tatizo la lowasa ni moja u. Rushwa. lakini kama ni kazi anafanya sana tuu.
pia kama unatarajia ukawa hii ya akina mbowe kushinda, sahau. haitakuwa tofauti na yaliyomkuta mheshimiwa.


 
tatu anapita
amina salum ali
j.makamba
j.magufuli

raisi wenu n

amina s ali

makamu january makamba


waziri mkuu magufuli ama william lukuvi toppp

cu nyt

Hata Bangi HAIDATISHI Kiasi Hiki Wewe Umevuta Kitu Gani Mkuu Pdidy Na Mwenyezi Mungu Akusamehe Tu. au Umechanganya Vilevi Kijana?
 
Jamani bado tu hajarudishwa mtu wetu
Mabadiliko ya safari

Safari ya Matumaini
Safari ya Matumain
Safari ya Matumai
Safari ya Matuma
Safari ya Matum
Safari ya Matu
Safari ya Mat
Safari ya Ma
Safari ya M
Safari ya Mo
Safari ya Mon
Safari ya Mond
Safari ya Mondu
Safari ya Mondul
Safari ya Monduli



😂😂😂😂😂😂
 
Kuishi kwingi kuona mengi.... Sipingi hata neno moja.
 

..hata mimi sijaona udini.

..nilichoona ni MIZENGWE.

..hakuna demokrasia ndani ya CCM.

NB.

..Magufuli na Membe ni wakristo.

..Migiro, Ali, na Makamba ni waislamu.
 
Tatizo lililopo ni how comes Bernad Membe aingie top 5????? kwa vigezo gani alivokuwa navo vya kumshinda Lowassa??????
Kama Lowassa kakatwa kwa nini Membe hakukatwa???? Ukiliwaza hili swali hata ukiwa raia wa kawaida tu lazima upate shida.
Swali lingine how comes Migiro amepenya hadi tano bora???? Tuseme Migiro uzoefu wa kimataifa na serikali kamzidi Dr. Mahiga???? Hapo hata kama hujaenda shule lazima ujiulize.
Swali lingine walimshawishi Jaji Ramadhani kuwalaghai kina Warioba ili wasiwashe moto??? alafu wamekuja kuwasuprise dodoma????? Haya ni maswali mengine mazito sana.
Swali lingine watu wanajiuliza Makamba kaprove kitu gani kwenye nini hadi kumshinda mtu kama Muhongo???? yaani hadi aingie tano bora????
Watu wanajiuliza vilevile Membe ana kitu gani special sana wakati alishawai kutamka kuwa ye ni mtu wa kisasi yaani akiwa raisi maadui zake 11 waamie kenya???? Hivi wale wazee wote makini hawakuliona hilo??????
Watu wanauliza kuwa how comesmtu aliyesema Tanzania kujiunga na OIC akiwa kama waziri wa mambo ya nje hadi akaitilafiana na baadhi ya viongozi wa dini leo chama kinamuona yuko sawa hata kuingia 5 bora?????

Ukiangalia kwa makini kuna maneno yamekuwa yakisema kuhusu project WAMA na hili ndo limekuja kujidhihirisha hapa.

KIUKWELI NI KWAMBA ILI HAWA JAMAA KUONEKANA WAKO FAIR WAREKEBISHE UAMUZI WAO JINA LA MEMBE WALITOE, MIGIRO ATOKE NA LOWASSA ASIWEPO ILA WAWEKE WATU AMBAO HATA WAKISEMA TUMEWACHAGUA HAWA BASI JAMII IWEZE ANGALAU KURIDHIKA NAO.
 
wewe ni kibaraka wa mafisadi. huna lolote, ishia huko.


 
Kuna wendawazimu humu wanajifanya wanamfahamu Membe wakati hawamfahamu matokeo yake wanaemfahamu tangu zamani tunawachora tu na kuwaona kama wehu waokoteza maneno ya vichochoroni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…