Brother tulia mwenzio nimedata kwa Murembo.Khaa!! Swali la kizamani sana hili :A S wink:
wakuu kwa mujibu wa mjumbe ndani ya kikao cha Nec amesema January magufuli na migiro ndio waliopenya tatu bora
Khaa!! Swali la kizamani sana hili :A S wink:
Nimeanzisha thread mapema kuwa jina la Lowassa limerudishwa wakaipoteza thread yanguu
You are very right and this is unacceptable! Tatizo ni kuwa wahusika hawalioni kabisa hili na wanaridhika kirahisi sana hapana tuseme imetodsha sasa! Imetosha ajira zooote za mashirika ya fedha mazurimazuri wanapewa dini moja hii haikubaliki kabisa. Magufuri amewekwa hapo kutuidanganya wananchi na wengine wanadanganyika let us wake up!!!!!
Mwaka huu naiona harufu ya vurugu kali ndan ya ardhi ya tz,
CCM wamechagua watu dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza nchi hapa natabir ushindi kwa wapinzan lakn CCM hawatakubali kushindwa watatumia plan B ili kushinda sasa hapo ndipo hata wapinzan hawatakubali hapo tayar vumbi ndan ya nchi yangu.
unamawazo kama yangu kama si mseto ukawa lazma wachukue dola,sina utani cdm inakata kuti walilokalia,binafs kura yangu ukawa tu!