..magufuli ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali. - Aliwauzia wa TZ wenzetu tena wafanyakazi wa Serikali chini ya kibali cha Baraza la Mawaziri na Rais Mstaafu Mkapa.
..ana kashfa nyingine ya kukaidi ushauri na kuvunja kituo cha mafuta mwanza. Serikali ilihukumiwa kulipa 14 billion. Mramba amefungwa kwa kutia hasara ya bilion 11. - Lete ushahidi mpendwa
..pia ana kashfa nyingine ya samaki wa magufuli - Ile ni kashfa au umechanganya madesa?
..huyu mtu hana busara na pia ni dikteta. Wewe mfuatilie matusi ya chini-chini anayotupa kwa vyama vya upinzani - TZ kwa hali ilivyo tûnahitaji Rais Dikteta. Kumbuka Mhe. Mrema alivyoinyoosha TZ alipokuwa waziri wa mambo ya ndani kwa udikteta wake.
..Magufuli ni mpenda sifa, mkurupukaji, na asiye na staha ktk kauli zake. - Kila mwanasiasa anapenda sifa