Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Be positive.

hivi unafikir membe mtu sahihi kwa kuongoza hii nchi?
Asha migiro anaweza kuongoza hii nchi?
January makamba anaweza kuongoza hii nchi?
Amina anaweza kuongoza hii nchi?

Hapo labda magufuli peke yake lakin magufuli sio chaguo lao
sasa sijui ww mkuu unaonaje
 
Editorial-11July2015.jpg
 
Mwaka huu naiona harufu ya vurugu kali ndan ya ardhi ya tz,
CCM wamechagua watu dhaifu na wasio na uwezo wa kuongoza nchi hapa natabir ushindi kwa wapinzan lakn CCM hawatakubali kushindwa watatumia plan B ili kushinda sasa hapo ndipo hata wapinzan hawatakubali hapo tayar vumbi ndan ya nchi yangu.

Unasema hayo kwa sababu kipenzi wako Fisadi papa amekatwa? Uchaguzi wa KK ni sahini na tutamuuza atayepitishwa bila kupingwa na Ukawa. Utabiri wa ushindi mwaka huu ni CCM 73.5%, Ukawa 23% na iliyobaki ya wasindikizaji. Hilo vumbi ni ndani ya familia yako kwa ajili ya ulevi wako uliyopita kiasi si ndani ya nchi yetu ya amani. ushindwe na ulegee.
 
wakuu kwa mujibu wa mjumbe ndani ya kikao cha Nec amesema January magufuli na migiro ndio waliopenya tatu bora

Hatudanganyiki, wajumbe wote wameacha simu zao nje ya ukumbi sasa sijui huyo mjumbe kakuelezaje!!!
 
"KINGUNGE Ngombare Mwiru, ambaye ni kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametabiri anguko na mpasuko mkubwa ndani chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, endapo chama hicho kitaacha kumpitisha mgombea urais anayekubalika kwa wananchi wengi."
Huyu Mzee alitakiwa aseme,
endapo chama hicho kitaacha kumpitisha mgombea urais anayekubalika kwa wanachama wengi wa CCM sio Wananchi.
 
Kama itakuwa hvyo kidogo watakuwa wametenda haki na Dr magufuli ananafasi kubwa ya kuibuka kidedea
 
..magufuli ana kashfa ya kuuza nyumba za serikali. - Aliwauzia wa TZ wenzetu tena wafanyakazi wa Serikali chini ya kibali cha Baraza la Mawaziri na Rais Mstaafu Mkapa.

..ana kashfa nyingine ya kukaidi ushauri na kuvunja kituo cha mafuta mwanza. Serikali ilihukumiwa kulipa 14 billion. Mramba amefungwa kwa kutia hasara ya bilion 11. - Lete ushahidi mpendwa

..pia ana kashfa nyingine ya samaki wa magufuli - Ile ni kashfa au umechanganya madesa?

..huyu mtu hana busara na pia ni dikteta. Wewe mfuatilie matusi ya chini-chini anayotupa kwa vyama vya upinzani - TZ kwa hali ilivyo tûnahitaji Rais Dikteta. Kumbuka Mhe. Mrema alivyoinyoosha TZ alipokuwa waziri wa mambo ya ndani kwa udikteta wake.

..Magufuli ni mpenda sifa, mkurupukaji, na asiye na staha ktk kauli zake. - Kila mwanasiasa anapenda sifa

BADO MHE. MAGUFULI NI TURUFU YA USHINDI KWA CCM.
- Hana makundi
- Hajatumia media kujitangaza mwanzo - mwisho
- Anaweza kukiunganisha chama tena
- Ni result oriented
- nk
 
Hiyo ndiyo CCM. Wako tayari kutumia njia zozote, halali na zisizokuwa halali, kukidhi matakwa yake ya kisiasa. Hivyo ndiyo ilivyokuwa katika Bunge Maalum la Katiba hata katika kuleta miswada mizito 3 kwa hati ya dharura.
 
Back
Top Bottom