Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hapo nakuunga mkono Mkuu
 
amini usiamini dr migiro ndio atapita, na kigezo kitakua kama ilivyotokea kwa mama makinda,

That is another makinda 'ya eagle' nchi ndo itakuwa ishauzwa jumla!!! no wonder we are called half monked! {am no monkey} Imagine riz ndo the main presidencial advisor!! Nyerere [baba wa Taifa] alimuonea kwa mbali huyu creature,
 
Huyu muhindi aliyekamatwa st.gaspa Na mabegi ya pesa mpaka nimeshangaa.sijuwi atakuwa kambi gani huyu.
 
magufuli ana record ya ku'perform' ktk sehemu zote anazopangiwa hata kama aliyempangia hamtaki! Hii ndio tunasema matendo yako yanakutangulia na kukufuata unakokwenda!
 
Ila wakatwe woote!
wasije wakateua mgombea mwanamke tu na ccm itakua imejikata pia.
 
We Nape unayetuletea Updates unaturudisha nyuma na updates zako ni feki. Tuambie wamepita akina nani acha longolongo
 
Yule aliyekamatwa na pesa asubuhi mfanyakazi wa QUALITY GROUP. Je Yusuph Manji anahusika hapa au?

 
Nchi yetu tumeshuhudia mengi sana kutoka kwa uongozi uliopita kiasi cha kwamba inafikia mahari nchi inaendeshwa kwa style ya bora liende.

lakini kadri upepo unavyoelekea tunaona John P Magufuli unanafasi ya kupota na kuwa mgombewa wa urais kupitia chama cha wa kijani.
Nimaombi yangu uweze kupita ili utunyoshee nchi yetu maana tumekuona atleast unaweza fanya maamuzi.
 
Vitu vinavyoongoza kukatwa
•keki
•umeme
•kiuno
•Lowasa
 
Kwasababu ya upumbavu kama huu na unchaingiaji wakikuda kama huu..ccm itaendelea kutunyanyasa milele,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…