omarymbwambo
Member
- Sep 22, 2014
- 59
- 46
Kuna rumours pia ya Migiro, Membe na Amina Salum.
Clouds Radiosource
Awe rais kwani kuira mnapioga CCM peke yenu? ngoja tutangaze mgombea wetu muone moto wakeMagufuli Rais, Amina Salim Ali Makamu wa Rais
Muda wa kazi umefika sasa,, wale wazembe kwenye system mjiandae bila shaka rais wa JMT POMBE MAGUFULI atakuja na jeshi hatari sana kwa wazembe... Pale nchemba,mwakyembe,prof muhongo hahahahaha mjiandae kukimbia sasa!!!
Hivi huyu Amina Salum ndo nani kwani?
Nasema kwa mtifuano huu Rais atakuwa Mwanamke na Makam wake pia atakuwa thy same sex unabisha achaaa, teh teh teh teh teh.
Kuna kila dalili CCM kwa mara ya kwanza kumsimamisha mgombea mwanamke katika nafasi ya Urais.
Kamanda tulia dawa ikuingie Magufuli ndiyo rais wako kama hutaki hama nchi.
Babako
Umekalili neno povu?
Punguani waheed wewe