Ni msukuma kutoka Chato na SIYO Nkome, unless kuna nkome tofauti na Bugando
Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120
Mbona kura zimezidi idadi ya wajumbe wa NEC?
Vita vya panzi nafuu ya mchuuzi View attachment 267438
hata mimi nashangaa. kinana alidai wajumbe wako chini ya mia nne. sasa hizo kura za hao watano ukijumlsha unapata watu 1098. nina wasiwasi na taarifa hiiSijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?
Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120
Mbona kura zimezidi idadi ya wajumbe wa NEC?
Kwa nini akishinda Amina kauli zitenguliwe. Haina haja ya kutengua.kudadeki lowasa kahakikisha membe hatoboi.
sasa ccm kaeni ready,ikibidi kupangua mshindi wa kesho,hawa jamaa wakimpigia kura huyo mama wa kizenji,itabidi mtengue kanuni asee
Mkuu,Sijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?
Wajumbe wako 324...
Wehuu hawaaa...
Au walimpigia m1 m1
atakua msukuma wa geita huyo,wasukumaaaaaaaaaaaaaaaa........
Tayari kashakatwa hayupo top threePamoja na kwamba kura yangu haimuhusu mgombea yeyote wa MANYINYIEM, natamani membe achinjiwe kwa nyuma... . Anakatwa, hakatwi-
dah Magufuli ndio raisi
msukuma wa nkome geita,sema familia ya wazazi wake ilihamia chato kwa ajili ya malisho ya mifugo. Lakini hata pia chato kuletwa mkoa wa geita ni hulka za magufuli kupata sehemu ya mifugo kwa wasukuma..
Duh! Hiyo process ni ngumu sana kwenye kujumlisha nani rahisi kufanya makosa.unapewa fomu yenye majina matano unaambiwa uweke alama ya vema kwenye majina matatu tu unayoyapenda. halafu kura za kila mgombea zinajumlishwa kwa wapiga kura wote.
Si ndo vizuri mana wengi wamechinjiliwa mbali, lowasa mwenyewe na efforts zake out.Siasa bwana si mchezo, yaani Membe chaguo la fast lady amepigwa chini hivi hivi.!