Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Vita vya panzi nafuu kwa kunguru download.jpg
 
Pamoja na kwamba kura yangu haimuhusu mgombea yeyote wa MANYINYIEM, natamani Membe achinjiwe kwa nyuma... . “Anakatwa, hakatwi”-
 
Sijaelewa utaratibu wa hizo kura. Wajumbe wa nec si walikuwa 385 tu, sasa mbona ukijumlisha hizo kura zinavuka idadi ya wajumbe wa nec?
hata mimi nashangaa. kinana alidai wajumbe wako chini ya mia nne. sasa hizo kura za hao watano ukijumlsha unapata watu 1098. nina wasiwasi na taarifa hii
 
Kura):
Magufuli 290
Amina 284
Migiro 280
Makamba 124
Membe 120

Mbona kura zimezidi idadi ya wajumbe wa NEC?

unapewa fomu yenye majina matano unaambiwa uweke alama ya vema kwenye majina matatu tu unayoyapenda. halafu kura za kila mgombea zinajumlishwa kwa wapiga kura wote.
 
kudadeki lowasa kahakikisha membe hatoboi.

sasa ccm kaeni ready,ikibidi kupangua mshindi wa kesho,hawa jamaa wakimpigia kura huyo mama wa kizenji,itabidi mtengue kanuni asee
Kwa nini akishinda Amina kauli zitenguliwe. Haina haja ya kutengua.
 
atakua msukuma wa geita huyo,wasukumaaaaaaaaaaaaaaaa........

ni msukuma wa wilaya ya chato kwa sasa zamai eneo hilo la Jimbo la biharamulo likagawiwa majimbo mawili mashariki na magharibi

mashariki kupata choya kasazi ambaye ni dc mbulu
mashariki akawa magufuri ila kumbuka wakati jimbo hili halija gawiwa lilikuwa ni jimbo moja na mwaka tisini magufuri aligombea na kushindwa na phares kabuye marehemu kwa sasa,
magufuri alipendwa sana na mkapa na hakuwa kwenye mtandao wa kikwete mwaka 2005 hivyo siasa za makundi hawezi kitabia anaweza kuwa mbadala wa lowassa tu,
 
Time will tell....politics is a game of chance .....CCM wamebakiza karata tatu za mwisho ...Magufuli anaonekana kuwa karata ya ushindi, lakini kamwe wasisahau nguvu ya kinamama , pamoja na msukumo wa mawazo ya hasira toka team iliyoshindwa.....anaweza pigiwa kura Asha-Rose kama kura ya patapotea.
 
watu wa membe na makamba ndio watakaoamua mshindi naamini wa makamba wataenda kwa amina na wa membe wataenda kwa migiro magufuli ataambulia wachache kura itarudiwa kati ya amina na asha kisha amina atampia asha kwa kuwa asha anaonekana kujitegemea zaidi kuliko kujuana watu watampigia , Kisha dr slaa atamchukua asha katika uchaguzi na kumwangusha kwenye kisanduku cha kura
 
unapewa fomu yenye majina matano unaambiwa uweke alama ya vema kwenye majina matatu tu unayoyapenda. halafu kura za kila mgombea zinajumlishwa kwa wapiga kura wote.
Duh! Hiyo process ni ngumu sana kwenye kujumlisha nani rahisi kufanya makosa.
Kwanini isiwe kuchagua jina moja!?
 
Back
Top Bottom