Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

wale kina mama wamejitoa nini ?..maana naona ni mmoja tu anayesalimia hawa wengine wako wapi?....
Hata mimi nashangaa na inawezekana wameombwa wajitoe baada ya kusoma upepo.Hata hivyo, hio haitawasaidi ila ndio itazidisha hasira tu.
 
Swala labkuiba mke c geni na siwa kwanza. Hiyo haikuadhiri nchi Bali ni muhusika tu. Naninafikiri kwanza huyo mume alimshukuru Mungu kwakuibiwa na padri
 
Hivi kuna mahusiano gani kuchaguliwa mgombea wa urais ccm na kuwa rais wa Tanzania? Hawa wajiandae kuwa chama cha upinzani mwakani
 
magufuli kilakitu,maoni ya kila mtu aya saidii zaid ya majungu na umbeya
Achokiaamin magufl always right for the benifs of tanzania peole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…