MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Kwa uzuzu wa hawa majamaa hutapata jawabuMimi mwenyewe bado najiuliza ni katiba gani imetumika kumpata mgombea wa UKAWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uzuzu wa hawa majamaa hutapata jawabuMimi mwenyewe bado najiuliza ni katiba gani imetumika kumpata mgombea wa UKAWA?
Hata mimi nashangaa na inawezekana wameombwa wajitoe baada ya kusoma upepo.Hata hivyo, hio haitawasaidi ila ndio itazidisha hasira tu.wale kina mama wamejitoa nini ?..maana naona ni mmoja tu anayesalimia hawa wengine wako wapi?....
Hbr wapenzi wa jf. Mm ni mwananchama mpya. Natakankujua hizobVurugu za nini na ni kwanini zikatokea?
Naona Lukuvi ameshakua mpambe wa Magufuli, Hii kweli usinisahau kwenye ufalme wako. !
Naona team lowasa kiwewe bado hakijaisha kabisa,
Nyie mgombea wenu ni Slaa kinyume na hapo mtagawana mbao...
Haya maneno yana uwezekano mkubwa wa kutimia.
Mwanamke anaenda kuwa amiri jeshi mkuu.
niulize tu kama kuna anayejua kuhusu mke wa Magufuli ni msomi? naona kama ufirst lady unamuhusu
Asante mkuu lakini napata error kwani haifunguki..
Mtu wa kwanza kusalimiwa kwa kupeana mikono na prezdaa ni mwamba wa kaskazini naona wameteta jambo.
huyu lukuvi mbona anajipendekeza kwa mheshimiwa rais dk magufuli
Nani katika UKAWA anakubalika nchi nzima??
Duu poole mi ndo nacheck kupitia hapo