Mwenye nguvu huwa anakatwa?
Saizi atakuwa kwenye vigrossari anagonga viroba
wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
Kachoka na nini kwani? Rais mtarajiwa hapaswi kuchoka kwa kiwango hiki. Ila mmmh! Huyu mama ni mzuri. Anafanana kama yule Joyce Banda wa Malawi
inaweza ikawa ni bora liende au wantaka waharibu tuwajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
CCM hamna kitu ndio maana wanakimbia midahalo!wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
Tena tungerudi nyuma mbaya si hapa tulipo
Ukimuona KOBE juu ya mti faham kuwa hajapanda mwenyewe.
Wanabodi leo nguvu ya Lowasa ndani ya CCM imejidhihirisha wazi na hii ni kutokana na wajumbe wanaomsapoti kuamua kupiga kura za bora tukose wote na hili likifanyika watamchagua mgombea mwanamke tena wa kutoka Zanzibar na hilo likifanikiwa tu Lowasa njia nyeupe Magogoni kwani kwa gharama alizotumia na ambazo anaendelea kutumia mpaka sasa na kama kweli ACT ni chama chake na kwa jinsi alivyotumia nafasi ya kutafuta wadhamini kujitangaza nchi nzima na kuona jinsi anavyokubalika je akigombea kupitia ACT au chama chochote huyo Mama ataweza kupambana na Mamvi? Kwa mnaoanglia mkutano wa CCM unaoendelea sasa hivi imedhihirisha wazi EL ni chaguo la wajumbe karibu wote wa mkutano huo kwani kila linapotajwa jina lake ukumbi wote unalipuka kwa kushangilia je hamuoni kama hao wajumbe wanaweza mpigia mgombea mwanamke ambae kwa hali halisi Nchi yetu bado haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke? Pia Mamvi ana sapoti kubwa sana ya wab
Anatafuta kura za kundi la Lowassa.....Huyu mama badala yakuongea jinsi yakuongoza anaanza kuwasifia walioenguliwa.