Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
 
magufuli mjanja, huoni na lukuvi naye ameanza kufuata nyao hizohizo?
 
Act Wazalendo haina usajili. Jina lililosajiliwa ni ACT TANZANIA. Ikitokea Lowasa akaenda ACT WAZALENDO hapo ndipo ccm unamtumia Msajili wa vyama vya siasa kuifuta rasmi act Wazalendo.
 
wengi loe ndo watajua kuwa huyu mma ni wa songea..
 
wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu

kura za team lowassa zinaenda zanzibar
 
Inavyoonekana Team Lowassa wanataka kumwaga mboga kumpa Amina ili ccm ishindwe kuprove kwamba walikosea kumkata.
 
Kachoka na nini kwani? Rais mtarajiwa hapaswi kuchoka kwa kiwango hiki. Ila mmmh! Huyu mama ni mzuri. Anafanana kama yule Joyce Banda wa Malawi

Hahaha hahahaha... Tension imemchosha...

Mzuri kweli, akitabasamu ndio anazidi kunoga
 
wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
inaweza ikawa ni bora liende au wantaka waharibu tu
 
wajumbe walivyokataa kumuuliza maswali amina ali wakati alikuwa hana confidence kama wakimuuliza asha migiro na magufuli maswali basi ni kura za maruhani za kambi ya lowasa kuchagua mgombea kituko,hakyamungu
CCM hamna kitu ndio maana wanakimbia midahalo!
 
Tena tungerudi nyuma mbaya si hapa tulipo

Amesema kuna askofu mmoja alimwambia tunahitaji rais mzuri kama wewe ila yeye jk akamjibu askofu kwamba anatamani apatikane rais mzuri zaidi yake ili awavushe watz zaidi ya hapa walipo.
 
Wanabodi leo nguvu ya Lowasa ndani ya CCM imejidhihirisha wazi na hii ni kutokana na wajumbe wanaomsapoti kuamua kupiga kura za bora tukose wote na hili likifanyika watamchagua mgombea mwanamke tena wa kutoka Zanzibar na hilo likifanikiwa tu Lowasa njia nyeupe Magogoni kwani kwa gharama alizotumia na ambazo anaendelea kutumia mpaka sasa na kama kweli ACT ni chama chake na kwa jinsi alivyotumia nafasi ya kutafuta wadhamini kujitangaza nchi nzima na kuona jinsi anavyokubalika je akigombea kupitia ACT au chama chochote huyo Mama ataweza kupambana na Mamvi? Kwa mnaoanglia mkutano wa CCM unaoendelea sasa hivi imedhihirisha wazi EL ni chaguo la wajumbe karibu wote wa mkutano huo kwani kila linapotajwa jina lake ukumbi wote unalipuka kwa kushangilia je hamuoni kama hao wajumbe wanaweza mpigia mgombea mwanamke ambae kwa hali halisi Nchi yetu bado haijawa tayari kuongozwa na Mwanamke? Pia Mamvi ana sapoti kubwa sana ya wab
 
Back
Top Bottom