mbona Magufuli kachangamkiwa pekee na kj kamchekeshea kwa watu..... Niiii kama..
Wamechukua nchi ipi???
Na ukawa unajua kinachoendelea mkuu, sasa majamaa leo wamenunua media zote. Kama hyo clouds wameamka nayo, habari ya ukawa utaisikia wapi hapo sasa Tar 14/07 mambo yote hadharani
endelea kusubiri mkuuhivi kwel hiyoo.. tatu bora yashapitishwa au n mbwembwe tuuu..
ciamin kama membe kapata kura 120.
Yap....Hapa ni kutumia kila aina ya ushawishi ili upate kura nyingi...Hahaaaaa unajua Nkwingwa kuna watu hawajui muktadha....
Kwenye huu mkutano si sehemu ya kumwaga mipointi kama unapohutubia huko UN.
Hapo ni kushawishi wajumbe wakupigia kura tu halafu hayo mengine baadaye.
Huyu mtangazaji wa star TV anampamba sana magufuli.................
Hizo bahasha wanapewa zina nini?
Hizo bahasha wanapewa zina nini?
Huwezi kuzuia mafuliko kwa vidole
JPM tayar keshawabwaga kinadada bila kupinga anayebisha aseme, no comment
anadhani kuongza nchi ni kama wizara akifika huko akayaona madeni ya nje na figisu figisu za wafanya biashara na ma hitman ndo atajua uzito wa nafasi hiyo.....maana sasa hivi kuna kundi linamlia mingo wakshajua bit zake wanaingiza vocal then business as usual