Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

anadhani kuongza nchi ni kama wizara akifika huko akayaona madeni ya nje na figisu figisu za wafanya biashara na ma hitman ndo atajua uzito wa nafasi hiyo.....maana sasa hivi kuna kundi linamlia mingo wakshajua bit zake wanaingiza vocal then business as usual
 
Wamechukua nchi ipi???
Na ukawa unajua kinachoendelea mkuu, sasa majamaa leo wamenunua media zote. Kama hyo clouds wameamka nayo, habari ya ukawa utaisikia wapi hapo sasa Tar 14/07 mambo yote hadharani

Kidogo unanipa matumaini
 
Hii lafudhi ya Magufuli ndo itakuwa inaunguruma Ikulu? daaaah jamaa asije akafuga ng'ombe ikulu
 
Hahaaaaa unajua Nkwingwa kuna watu hawajui muktadha....

Kwenye huu mkutano si sehemu ya kumwaga mipointi kama unapohutubia huko UN.

Hapo ni kushawishi wajumbe wakupigia kura tu halafu hayo mengine baadaye.
Yap....Hapa ni kutumia kila aina ya ushawishi ili upate kura nyingi...

Kuanza kueleza nini utafanya ni kupoteza muda maana Ilani imeshaandaliwa na imepitishwa na NEC - CCM
 
Mabodyguard wa marais wamegeukia kushoto wote sijui wanashangaa nini?Sijawahi kuona bodyguard wa Obama akigeuza shingo yake upande tofauti na aliko bosi wake.
 
anadhani kuongza nchi ni kama wizara akifika huko akayaona madeni ya nje na figisu figisu za wafanya biashara na ma hitman ndo atajua uzito wa nafasi hiyo.....maana sasa hivi kuna kundi linamlia mingo wakshajua bit zake wanaingiza vocal then business as usual

Hapo kwenye HITMANS umenikumbusha mengi...!!!
kumbe TZ wapo???
 
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?

Really CCM? Really....?

Hahahaaaa.......daaaaah.
 
Back
Top Bottom