Ramadhan Kimbeiye
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 114
- 50
Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!
Pombe hajasema CV yake, anajisifu barabara, kajenga kwa hela ya mfukoni mwake?
Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!
Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.
Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.
Pasco
Eti nchi haijawa tayari kugombewa na mwanamke? Lini itakuwa tayari? Hadi kufikia wanawake 2 kuwa top 3, ujue mwanamke anaweza.
Wenye malori watakoma magufuli akishinda...kwa jinsi walivyomzarau wakati wa ule mgomo wao.
Uchaguzi wa kiholela holela! Inaonesha watafanya nini Oktoba 2015!
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
Amina bado! Magufuli rais na Asha makamu full stop!
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
Hivi Magufuli ni kabila gani?
Uchaguzi wa kiholela holela! Inaonesha watafanya nini Oktoba 2015!
Acheni ujinga watz uchaguzi huu unawapeleka kuwa wtumwa kwa miaka zaidi ya 100 ktk hii mikataba ya kushenzi.JIfanyeni mnatafauta sifa za kuwa engineer na ukima mwingine mliofundinshwa ktk akili z akijamaa na wappuuzi wengine.Sasa hivi kenge anayeingia ankwenda uza gesi na kila kitu na mwishowe mtajikuta mnakuwa magaidi ili kutetetea nchi kwani hakuna njia mbadala ya kubadili hiyo mikataba...hawa wagonjwa wa ccm wnegine watakuwa wamekufa aua wanajiliza uongo kwamba na wao ni wagonbania haki ya kurejebisha mikataba.siku zote watu wa namna hii wasio jua kuzungumza saaana siasa siasa huwa ndio watendaji bora... ENG NENDA KAWE RAIS UNAONEKANA TU KUWA WEWE NI MTU WA KAZI...
telemundo si ndo kwenye soap opera za mahaba niue!!we msukuma hatari kwa emotions...bosi wako hajasusa wewe umesusa,kweli mpambe ni nuksi kuliko mwenye mali!!!Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.
Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.
Pasco