Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!

Ooh my God..... Are you serious
 
Kwa jinsi ugawaji wa makaratasi ya kura unavyofanyika naona kama kuna fursa kibao za uchakachuaji...
Idadi ya wajumbe tu kwanza haijulikani ni ipi...??
Kura zinapigwa kwa stahili ya copy and paste...??

Duh.... hawa jamaa ni hatari!!
 
Ngosha hata mimi imenifikirisha sana hii tatu bora! really hawa ndo wakukabidhiwa supreme power???! Bongo bado tupo nyuma sana! magufuli full local and unpresentable! angalau Migiro japo naye kakaa kama kasuku!

makundi ndo yamepelekea hawa kina magufuli kuokota dhahabu kwenye mchanga tena ile shikole...humo ndani unawaona kama wamoja lakini kuanzia kesho utaona miguno miguno
 
Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.

Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.

Pasco

Pasco unazungumziaje kukatwa kwa mgombea wako kaka lowasa
 
Last edited by a moderator:
Team Membe watampa Migiro na Magufuli;team Lowassa watampa Amina na wachache watampa Magufuli.Amina atakuwa na kura za ziada kutoka Zanzibar.

Kwa mahesabu haya,Amina,japo hajui kujieleza,ana nafasi kubwa zaidi endapo kura zitapigwa kimakundi na zaidi Amina ameonyesha kujali uwepo wa Lowassa wakati Magufuli kapuuzia kuomba kura za kundi la Lowassa.

Ni mtazamo wangu.
 
Wenye malori watakoma magufuli akishinda...kwa jinsi walivyomzarau wakati wa ule mgomo wao.

Ule mgogoro bado haujaisha lakini ccm hawawezi kushindana kabisa mwaka huu VOTE FOR UKAWA
 
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?

Really CCM? Really....?

Hahahaaaa.......daaaaah.

Ni kweli CCM inachekesha,uzunisha na kumfanya mtu mwenye bongo asiamini kama imejifikisha ktk mazingita ya aina hii mapema hivi. Nimewaona ukumbini usiku huu wengi wamenuna,wamekata tamaa,nk.
 
siku zote watu wa namna hii wasio jua kuzungumza saaana siasa siasa huwa ndio watendaji bora... ENG NENDA KAWE RAIS UNAONEKANA TU KUWA WEWE NI MTU WA KAZI...
Acheni ujinga watz uchaguzi huu unawapeleka kuwa wtumwa kwa miaka zaidi ya 100 ktk hii mikataba ya kushenzi.JIfanyeni mnatafauta sifa za kuwa engineer na ukima mwingine mliofundinshwa ktk akili z akijamaa na wappuuzi wengine.Sasa hivi kenge anayeingia ankwenda uza gesi na kila kitu na mwishowe mtajikuta mnakuwa magaidi ili kutetetea nchi kwani hakuna njia mbadala ya kubadili hiyo mikataba...hawa wagonjwa wa ccm wnegine watakuwa wamekufa aua wanajiliza uongo kwamba na wao ni wagonbania haki ya kurejebisha mikataba.
 
Elimu ya uraia inahitajika sana!. Rais akitoka upande mmoja, makamo u[pande mwingine!.

Mnao tu update mkutano asanteni, mimi niko na Telemundo, nafuatilia mkutano kupitia jf.

Pasco
telemundo si ndo kwenye soap opera za mahaba niue!!we msukuma hatari kwa emotions...bosi wako hajasusa wewe umesusa,kweli mpambe ni nuksi kuliko mwenye mali!!!
 
Back
Top Bottom