Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Jamaa ni noma....wanachakachuliana hadi wao kwa wao.

Kulikuwa na ugumu gani kuzihesabu hizo kura papo kwa hapo?

Eniwei, acha tu wafu wazikane wao kwa wao.

Hiki chama cha wahuni kinaongozwa na wahuni...kwanini wasingepiga hizo kura kesho??
 
Amina kutajataja Lowassa sana anataka aelewele kuwa akishinda basi atamfanya lowassa kuwa mgombea mwenza na hatimaye makamu wa rais.
Hii ni kwa kuzingatia katoba kuwa kama raisi akitoka zenji basi makamu atatoka bongo.So nimehisi kuwa anataka kura za watu wa lowassa kwa kuwaahidi hivi kwa maneno mengine.
 
Pasco unazungumziaje kukatwa kwa mgombea wako kaka lowasa
Tunasubiri kauli tuu, ilikuwa ni safari ya matumaini kama angepitishwa na CCM, sasa itakuwa ni safari ya ukombozi wa pili wa Mtanzania!, akipita Amina au Migiro, Mwamba wa Kaskazi ukihama chama, CCM inapigwa chini kama kumsukuma mlevi!, ila akipita Magufuli, hata 'jamaa yangu' atajishauri kwanza!, kwa sababu siku zote, determinant ya nani ni rais wetu ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa!, hivyo akipitishwa Magufuli, wale kina Ngosha wote waliokuwa kambi ya Lowassa, watarudisha majeshi nyumbani!, hivyo hata mwenyewe anajua, akipita Magufuli, yeye hata akijitoa CCM, itakuwa ni wastage of time, kwa Magufuli ni jembe!.

Ukipata muda tembelea hapa
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John [/h]Pasco
 
redio gani ya kusikiliza online kwangu wamezima live stream.
 
Hawa jamaa watachakachua hizi kura,wanamtafuta Asha Rose Migiro abebe bendera ya CCM. Magufuli out!!
 
Hasa Magufuri ameokota Embe kwenye mbuyu hakyamungu!looh!!
Wanamuziki/wafanyakzi mbalimbali/wanasiasa na sisi sote kwa ujumla wetu tuache mambo ya team!leo hii Lowassa na Membe ni team tu ndio zimewakosti!Leo nimejua madhara ya team

Imekuwa ni funzo kubwa tu. Miaka ijayo kutakuwa hakuna mbwembwe kama za kutafuta wadhamini 800,000 badala ya 450
 

Tena huyu aliyeuza nyumba za serikali kama njugu atauza hadi roho zetu walah
 
goli la mkono wanafungana from with in,usistaajabu ukisikia kesho kapitishwa wassira.,hao wagombea watasinzia kweli jinsi walivyo na uzoefu wa kuiba kura!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…