Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
Kwa kuangalia tu walivyojieleza inaacha maswali mengi ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kweli hiyo ndo tatu bora ya CCM kati ya wale wote 38?
Really CCM? Really....?
Hahahaaaa.......daaaaah.
Jamaa ni noma....wanachakachuliana hadi wao kwa wao.
Kulikuwa na ugumu gani kuzihesabu hizo kura papo kwa hapo?
Eniwei, acha tu wafu wazikane wao kwa wao.
Habari ni kuwa kura nyingi sana zimeharibika baada ya wajumbe kuandika LOWASA. Kweli kazi wanayo.
Tunasubiri kauli tuu, ilikuwa ni safari ya matumaini kama angepitishwa na CCM, sasa itakuwa ni safari ya ukombozi wa pili wa Mtanzania!, akipita Amina au Migiro, Mwamba wa Kaskazi ukihama chama, CCM inapigwa chini kama kumsukuma mlevi!, ila akipita Magufuli, hata 'jamaa yangu' atajishauri kwanza!, kwa sababu siku zote, determinant ya nani ni rais wetu ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa!, hivyo akipitishwa Magufuli, wale kina Ngosha wote waliokuwa kambi ya Lowassa, watarudisha majeshi nyumbani!, hivyo hata mwenyewe anajua, akipita Magufuli, yeye hata akijitoa CCM, itakuwa ni wastage of time, kwa Magufuli ni jembe!.Pasco unazungumziaje kukatwa kwa mgombea wako kaka lowasa
Utendaji upi? Fafanua.
Kingunge ana hasira Lowasa KUKATWA.These people are not serious!Bora Kingunge alieamua kususa.
Kweli ccm pasua kichwa, ndio utaratibu gani sasa huu?!!!!!
Hasa Magufuri ameokota Embe kwenye mbuyu hakyamungu!looh!!
Wanamuziki/wafanyakzi mbalimbali/wanasiasa na sisi sote kwa ujumla wetu tuache mambo ya team!leo hii Lowassa na Membe ni team tu ndio zimewakosti!Leo nimejua madhara ya team
Team lowasa mmevurugwaaa
Acheni ujinga watz uchaguzi huu unawapeleka kuwa wtumwa kwa miaka zaidi ya 100 ktk hii mikataba ya kushenzi.JIfanyeni mnatafauta sifa za kuwa engineer na ukima mwingine mliofundinshwa ktk akili z akijamaa na wappuuzi wengine.Sasa hivi kenge anayeingia ankwenda uza gesi na kila kitu na mwishowe mtajikuta mnakuwa magaidi ili kutetetea nchi kwani hakuna njia mbadala ya kubadili hiyo mikataba...hawa wagonjwa wa ccm wnegine watakuwa wamekufa aua wanajiliza uongo kwamba na wao ni wagonbania haki ya kurejebisha mikataba.
redio gani ya kusikiliza online kwangu wamezima live stream.
Dah nimempenda bure namu wish all the best.