Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Tena kiherehere cha hali ya juu, wewe kila mkoa umeambiwa wadhamini 450 unaenda kuandikisha milioni! Kama siyo utaahira sijui ni kitu gani. Safari ya matumaini chaliii hata kabla haijaanza.

 
Wameamua kuanza zoezi la uchakachuaji kura kuelekea October 25th mapema zaidi ili waweze kuifanya kazi hiyo vizuri sana. Zoezi lote tangu mwanzo hadi mwisho limegubikwa na usiri mkubwa mno na ujanjaujanja.

Kuhesabu kura tu hadi kesho? Hapa kuna namma inafanywa ngoja tusubiri.
 
Wameamua kuanza zoezi la uchakachuaji kura kuelekea October 25th mapema zaidi ili waweze kuifanya kazi hiyo vizuri sana. Zoezi lote tangu mwanzo hadi mwisho limegubikwa na usiri mkubwa mno na ujanjaujanja.
Ujue kuwa upinzani hauna chance ya kushinda
Uchaguzi
 

Mkuu tuko pamoja hapa. Zengwe linasukwa, tutarajie matokeo ya kupikwa baadae leo.

Tiba
 
Kati ya watu zaidi ya 50 waliohesabu kura za wajumbe wa MM hakuna alielikisha matokeo? Tuliyapata ya NEC mapema... Iweje hayatoki asibuhi hii?
 

Hahahahahaaaaa...

Lipumba tunamwachia form four failures wamshughulikie tuu....kina rostam wamuuwa..wale failures wanatosha tuu
 
Ccm inataka kuchakachua mpaka kura zake wenyew duh hawa jamaa hawafai kabisa..
 
Kwa kweli kwa Magufuli kupewa cheo cha kugombea uraisi nimepata funzo kuwa wakati mwingine bidii huweza kulipa.huyu baba anapenda kazi na anafanya kwa moyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…