babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
kajifunze tena mathematics mweupe wewe...x5 hint(max)
Kwa nini *5 wakati mjumbe mmoja anapigia majina matatu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kajifunze tena mathematics mweupe wewe...x5 hint(max)
Mtu anazunguka nchi nzima kutafuta wadhamini 450, sasa wengine ndio waone faida ya kiherehere bila kujua kuwa unavunja kanuni za chama lkn hata hivyo Lowasa na watu wake wanajua mchezo wote uliochezwa kuamua au kutokuamua wafanye nn ni juu yao.Tuendelee kutega masikio huu ni mwaka wa matukio na tukio la kwanza ni Lowasa tusubiri mengine.
Kuhesabu kura tu hadi kesho? Hapa kuna namma inafanywa ngoja tusubiri.
Ujue kuwa upinzani hauna chance ya kushindaWameamua kuanza zoezi la uchakachuaji kura kuelekea October 25th mapema zaidi ili waweze kuifanya kazi hiyo vizuri sana. Zoezi lote tangu mwanzo hadi mwisho limegubikwa na usiri mkubwa mno na ujanjaujanja.
kuchelewa kutoa matokea maana yake iwe isiwe lazima apite anayetakiwa na wakubwa ambaye ni magufuli au migiro, wanajua team ya lowasa wanaweza mpa amina na vile umri wake umeenda mikeke mikeke ya kampeni imshinde ili ukawa wabebe kilaini, hivyo iwe isiwe kura zipigwe au zisipigwe atapita anayetakiwa kweli na wakuu.
kajifunze tena mathematics mweupe wewe...x5 hint(max)
Magufuli ni MSUBI
Ni Msukuma au Mhaya?
sijafurahishwa na msukumu kupewa nchi
Sasa turudi kwenye mada!! kiujumla with no doubt definetely CCM they are defeated!! tunamtaka material president sio hawa jamani hawawezi kabisa kutegua mitego ya mabepari wanaoitumbulia mimacho Nchi yetu. Tunataka mtu ambaye hayumbishwi si tu hapa nyumbani bali hata anapokuwa kule ng'ambo asizuzuliwe na madalali wa kimataifa kama comvoy ya mabepari wa Rostam Aziz ambao wana namna na mbinu za ushawishi zilizoenda shule so tracking them easily without being stable upstairs unastukia zamaani wakati huo walishakuliza kitambo sana na walishachukua chao kitambo!! si mnakumbuka chain ya Richmond-Dowans-Symbion walivyo tubamiza?? nani alijua cyndicate hii mapema??
Tunahitaji Rais ambaye anauelewa mtambuka wa kipi na yupi wa kuingia nae mkataba kwenye masuala nyeti ya raslimali zetu kwa tahadhari kubwa. Sio zoba zoba km Magufuli hata ungekuwa mkali au dicteta kiasi gani kwenye masuala ya utaalam ukikaa vibaya utalizwa tuu na kuishia kutimua subodinates kwenye suala ambalo lilikuwa na uwezekano mkubwa wa kuchukua tahadhari kabla athari haijatokea.
Hapa anae tufaa ni Prof Lipumba anauelewa mtambuka kwenye masuala makubwa na uzoefu pia anao. UKAWA should watchout this km lengo ni kutupeleka kuzuri sehemu ambayo kila mtanzania atanufaika na raslimali zetu.
Subiri game, pia hutoanini Ukawa unaingia ikulu kilaini.
Slaa amechaguliwa lini kuwa mgombea urais?
Hahahahahaaaaa...
Lipumba tunamwachia form four failures wamshughulikie tuu....kina rostam wamuuwa..wale failures wanatosha tuu