jackline mzee
New Member
- Jul 11, 2015
- 3
- 0
EL hauzikisi kweli
1. Dk. Magufuli kura 1560.
2. Dk. Migiro kura 702.
3. Balozi Amina kura 349.
Jamaa ni mkabila lakini pia ni fisadi..pale kwao lubabangwe kajenga nyumba zaidi ya 60 kawapingisha viongozi wote wa wilayani..pia kajimegemea eneo kubwa kaweza uzio..kajamaa ni kafisadi tunakajua