Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

1.Augustino Ramadhan
2.Asha Migiro
3.Makongoro
4.Kayanda Mizengo
5.Pombe,John
Wengine mwenyekiti amewaomba wajaribu tena 2025.Kambi ya EL yatangaza kuhamia kwa Asha Migiro.
Kikao cha CC kimemalizika kama dakika 20 zilizopita

Hapa Tz tuna familia kuu mbili kisiasa, familia ya Mzee Karume na familia ya baba wa Taifa. Sasa kwasababu tayari tumeshamuenzi Mzee Karume kwa kumuweka A man.A.Karume kutoka Visiwani mara hii tunaomba CCM imuenzi baba wa Taifa kwa kumpitisha Makongoro ili walau tuzitendee haki familia zote mbili. Siamini sana kwamba Aman.A.Karume alikuwa ana sifa nyingi sana zaidi ya Makongoro ila naamini pia Makongoro anazo sifa muhimu za kutosha, tunaomba tuwaenzi wazee hawa kwa usawa ili na sie bara tujisikie furaha kwa baba wa Taifa kuenziwa kama marehemu Abeid Karume. Tunaweza tukawaacha wengine wote lakini hizi familia tunapouenzi muungano basi tuzienzi nazoi pia kwa usahihi na usawa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Nadhani tunahitaji kiongozi mbabe na mwenye kupenda maendeleo ya nchi na watu wake.Kwa suala la uadilifu tu sidhani kama atapatikana mtu na kwa jinsi nchi ilivyooza bila ubabe hakitafanyika kitu
 
??????????????
 
Attachments

  • 1436547235043.jpg
    30.9 KB · Views: 752
Hata Kama tutapiga kelele kiasi gani..mamnvi hawezi kuachwa Kama hao wengine wamepita naye atakuwemo
 
kwa ufupi sana mambo yalivyokuwa huko

Last edited by a moderator:
Wajumbe wa CC wanatoka mule wakijua kabisa kuwa fulani ma fulani ndo wamepita. Hadi sasa Lowasa lazima ajue kama kapita au lah, na lazima CC imueleze kuwa tumekuacha kwa sababu hii, hii na hiii...
Tungekuwa tushajua tayari maana angewaambia watu wake wa karibu
 
1.Augustino Ramadhan
2.Asha Migiro
3.Makongoro
4.Kayanda Mizengo
5.Pombe,John
Wengine mwenyekiti amewaomba wajaribu tena 2025.Kambi ya EL yatangaza kuhamia kwa Asha Migiro.
Kikao cha CC kimemalizika kama dakika 20 zilizopita

Hapa Tz tuna familia kuu mbili kisiasa, familia ya Mzee Karume na familia ya baba wa Taifa. Sasa kwasababu tayari tumeshamuenzi Mzee Karume kwa kumuweka A man.A.Karume kutoka Visiwani mara hii tunaomba CCM imuenzi baba wa Taifa kwa kumpitisha Makongoro ili walau tuzitendee haki familia zote mbili. Siamini sana kwamba Aman.A.Karume alikuwa ana sifa nyingi sana zaidi ya Makongoro ila naamini pia Makongoro anazo sifa muhimu za kutosha, tunaomba tuwaenzi wazee hawa kwa usawa ili na sie bara tujisikie furaha kwa baba wa Taifa kuenziwa kama marehemu Abeid Karume. Tunaweza tukawaacha wengine wote lakini hizi familia tunapouenzi muungano basi tuzienzi nazoi pia kwa usahihi na usawa.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…