Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Lowasa imeshindikana/kakatwa
Jaji Augustino & Pinda wako tano bora majina yote kutangazwa baada ya nusu saa
Wewe umejuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa imeshindikana/kakatwa
Jaji Augustino & Pinda wako tano bora majina yote kutangazwa baada ya nusu saa
Aisee!! cc Ritz
1.Augustino Ramadhan
2.Asha Migiro
3.Makongoro
4.Kayanda Mizengo
5.Pombe,John
Wengine mwenyekiti amewaomba wajaribu tena 2025.Kambi ya EL yatangaza kuhamia kwa Asha Migiro.
Kikao cha CC kimemalizika kama dakika 20 zilizopita
Lowasaaaa...pitaaaaaaaaa
Tumechoka kusubiri
kumbe kwenye mambo kama haya na huku huwa unatembelea?Lowasa imeshindikana/kakatwa
Jaji Augustino & Pinda wako tano bora majina yote kutangazwa baada ya nusu saa
Wewe umejuaje?
kumbe kwenye mambo kama haya na huku huwa unatembelea?