Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.

CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.

UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Huyu ndio kiboko yao, ikatokea akateuliwa na CCM, UKAWA hawataambulia zaidi ya asilimia mbili ya kura zote za urais.
 
Lowassa ni nani ndani ya nchi hii ni nani ndani ya ccm watz hacheni uoga
 
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.

CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.

UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.

Hahahaaa kumbe na wewe umestukia eeh?

Ukiona mtu anaogopwa sana na mpinzani wako basi jua kuwa huyo ndo anafaa.

Manake kama angekuwa hafai wangejinyamazia kimya tu ili CCM wamchague mgombea bomu halafu waje wamshinde kwenye uchaguzi.

Lakini sasa hivi ni kana kwamba wana-UKAWA wanaishauri CCM kuhusu nani anafaa na nani hafai.

I mean, kwa nini Lowassa anachukiwa hivyo?

I guess if you ain't got no haters you ain't poppin' and on that note Lowassa is definitely poppin'.
 
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.

CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.

UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.

and vise-versa is true.
 
Nasikia lowasa wamemshauri avute sana bange kabla majibu hayajatoka ili apunguze maumivu!!
 
lowassa hachukiwi ila anaogopwa
 
CCM Watashinda ktk urais,lakini wabunge wengi watakuwa UKAWA,Shughuri itakuwepo bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…