pole sana mtu peke mwenye sifa za kutosha anajiuza kwa kile alichokifanya aitaji kupakwa mafuta,
Team lowasa mjiandae kisaikolojia, matokeo yako tofauti sana[/QUO
Ukatae ukubali shauri yako lakini Magufuri ndio atakae pita 5 bora, 3 bora na hatimae 1
Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.
CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.
UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.
Naona huna taarifa ya utafiti wa REDET! Mchuano ni Lowasa na Slaa! Wengine wote njia nyeupeeeeee!
Huyu naye atapigwa chini tu hana sifa ya kuongoza nchi.
Ukatae ukubali shauri yako lakini Magufuri ndio atakae pita 5 bora, 3 bora na hatimae 1
Ushindi ni ushindi Mkuu. Hata JK mwaka 2010 alipata ushindi pungufu ya ule wa 2005. Lakini alishindaBila jina la LOWASSA ushindi utapatikana lakini sio ule wa Kishindo kama kawaida yetu CCM.
...UMOJA NI USHINDI ...
Huyu ndio kiboko yao, ikatokea akateuliwa na CCM, UKAWA hawataambulia zaidi ya asilimia mbili ya kura zote za urais.
Bila jina la LOWASSA ushindi utapatikana lakini sio ule wa Kishindo kama kawaida yetu CCM.
...UMOJA NI USHINDI ...
Kwa vile ukawa ni mafisadi wenzakeUkawa tuna mtaka Lowasa.
haa haa toka ugombea urais mpaka umakamu wa rais duh. kwani makamu wa rais anachukuliwa yeyote yule bila kuangalia sifa?