Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Hivi UKAWA mnataka mgombea gani ambaye mnaona mtamuweza.

CCM hata wampitishe yule mkulima bado atamuacha mbali sana Dr.Slaa.

UKAWA wanamuogopa sana Lowassa sijui kwa nini.

Naona huna taarifa ya utafiti wa REDET! Mchuano ni Lowasa na Slaa! Wengine wote njia nyeupeeeeee!
 
Sasa inadhihiri CCM wanamuonea aibu mamvi na wanashindwa kufanya maamzi. Tutatangaza nguvu ya UMMA iitangaze CCM kuwa ni chama cha mafisadi na yeyote anayedhani yeye si fisadi atoke CCM
 
Bila jina la LOWASSA ushindi utapatikana lakini sio ule wa Kishindo kama kawaida yetu CCM.

...UMOJA NI USHINDI ...
 
MBona tunadanyana hapa na information za uongo kumbe bado hata mkutano hujafanyika
 
Hatumnywi sumu hatujinyongiiiiiiiii
CCM mbele kwa mbeleeeeee
Hatuandamani hatunywi sumuuuuuuu
CCM mbele kwa mbeleeeeee
Wacha waisome nambaaaaaaaaaaa
Ccm mbele kwa mbeleeeeeee
 
Kiuhalisia huyu ndo anafaa kuwa rais wa Tanzania kwa sasa. Nchi itanyoka.
 
kwan lazma na ww uanzishe maada? Kama huna cha kuandika kapige nyeto nanga ww
 
Bila jina la LOWASSA ushindi utapatikana lakini sio ule wa Kishindo kama kawaida yetu CCM.

...UMOJA NI USHINDI ...
Ushindi ni ushindi Mkuu. Hata JK mwaka 2010 alipata ushindi pungufu ya ule wa 2005. Lakini alishinda
 
Huyu ndio kiboko yao, ikatokea akateuliwa na CCM, UKAWA hawataambulia zaidi ya asilimia mbili ya kura zote za urais.

Ni kweli! lakini atakuwa hana wabunge wengi! Lakini hili halitampa shida, atafanya kazi vizuri sana na wapinzani
 
haa haa toka ugombea urais mpaka umakamu wa rais duh. kwani makamu wa rais anachukuliwa yeyote yule bila kuangalia sifa?

atakuwa na sifa si ndio maana atakuwa running mate!wanataka kumpoza asimwage mboga
 
Back
Top Bottom