Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

@Amaizing kujifanya Nape siyo vizuri,tusipende kuwachokoza hawa jamaa bila sababu hawachagui pa kupiga.
 
Ingekuwa enzi za nyerere saa hiz kingeshaeleweka zamaaaaani...lakini leo naona ccm hakuna straika wa kuamua mchezo ndio maana mechi imeenda muda wa nyongeza had matuta lakini bado holaa...! Ccm ya sasa ni kama brazil ya sasa hakuna mastraika wa kumaliza gemu...!
 
Anafaa sana kutumwatumwa na kupewa maagizo labda u pm

pole hatuitaji rais wa kuogozwa na baraza la mawaziri,magufuli ndo mwenyewe,wanaokaa ofisini na kupiga soga aadara ya kuwatumikia watanzania waombe kuacha kazi mapema,asante mungu
 
Nape ametoa taarifa kuwa kamati kuu imerudi sasa kuendelea na kikao baada ya futari, na kusema kuwa kikao cha Halmashauri kuu (NEC) utaanza kesho tar. 11/07 saa 4 asubuhi.
 
jnsi wanavyofanya mambo yao utaona total failure of party machinery hakuna ratiba hakuna taarifa uswazi tu hatutaifikia kenya milele
 
Jk nae ni janga lingine.. Anashindwa nini maliza mchezo. Ujinga
 
pole hatuitaji rais wa kuogozwa na baraza la mawaziri,magufuli ndo mwenyewe,wanaokaa ofisini na kupiga soga aadara ya kuwatumikia watanzania waombe kuacha kazi mapema,asante mungu

Rais bila baraza la mawaziri inawezekana kweli au ushabiki
 

Hii inaukweli wowote?

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…