Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

@Amaizing kujifanya Nape siyo vizuri,tusipende kuwachokoza hawa jamaa bila sababu hawachagui pa kupiga.
 
Ingekuwa enzi za nyerere saa hiz kingeshaeleweka zamaaaaani...lakini leo naona ccm hakuna straika wa kuamua mchezo ndio maana mechi imeenda muda wa nyongeza had matuta lakini bado holaa...! Ccm ya sasa ni kama brazil ya sasa hakuna mastraika wa kumaliza gemu...!
 
Anafaa sana kutumwatumwa na kupewa maagizo labda u pm

pole hatuitaji rais wa kuogozwa na baraza la mawaziri,magufuli ndo mwenyewe,wanaokaa ofisini na kupiga soga aadara ya kuwatumikia watanzania waombe kuacha kazi mapema,asante mungu
 
Nape ametoa taarifa kuwa kamati kuu imerudi sasa kuendelea na kikao baada ya futari, na kusema kuwa kikao cha Halmashauri kuu (NEC) utaanza kesho tar. 11/07 saa 4 asubuhi.
 
jnsi wanavyofanya mambo yao utaona total failure of party machinery hakuna ratiba hakuna taarifa uswazi tu hatutaifikia kenya milele
 
Jk nae ni janga lingine.. Anashindwa nini maliza mchezo. Ujinga
 
pole hatuitaji rais wa kuogozwa na baraza la mawaziri,magufuli ndo mwenyewe,wanaokaa ofisini na kupiga soga aadara ya kuwatumikia watanzania waombe kuacha kazi mapema,asante mungu

Rais bila baraza la mawaziri inawezekana kweli au ushabiki
 
Org.com
httpp:/h.ww.chamacha mapinduzi.com

CHAMA CHA MAPINDUZI

tunashukuru ka maombi na wengne wanaozidi kutufuatilia tunachoomba ni kuwashukuru kwa usalama na amani ya nchi ilivyo sasa tumeshamaliza kikao cha majina matani kati ya walioomba ambao ni
1.Edward Ngoyai lowasa
2.Bernard Membe
3.Asharose migiro
4.Makongoro nyerere
5.Augustino Ramadhani

tunasisitiza amani ya chama na amani ya nchi naamini tunapoelekea wataenda kutenda haki na haki itazngatiwa na tutazngatia maoni ya wananchibpia wanahitaji nini nitoe lai tuu kuwaomba baada ya kupata futari basi wajumbe watarudi tena katika mkutano baada ya masaa kadhaaa kusikiliza kama hakuna ridhiko hapo lakini.mpaka sasa tulipofikia ni hapo na tutazidi kujulishana tunazidi kuhamasisha amani ya nchivna amani ya chama

Nape N
k/mwenezi

PAMOJA TUTASHINDA
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Hii inaukweli wowote?

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom