Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa
 
Lowassa ana roho ngumu kama kuku wa kafara full kutapatapa lakini mwishowe anazima zzzzzzzzzz!!!
 
Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa
Habari za uhakika ni kwamba Lowassa amekatwa miguu tayari!!!
 

Ndiye mtarajiwa wa JMT awamu ya 5.
 
Watu tumekesha toka J5 hadi leo! Mimi na wazee wenzangu tuna mapresha na visukari pls tunaomba hiyo tano bora japo tulale leo
 
Haya haya, ndungu wapenzi wa na wasio wapenzi wa CCM.
Mambo yameenda kama mlivyotarajia na msivyotarajia pia. Kile tulichosubili kwa hamu sasa kipo tayari. CC imeamua kuondoa majina mawili kwanza yenye makundi ili kuleta balance kwenye majadiliano ambayo yana mvutano kweli kweli. Hivyo basi majina hayo ya watia nia wenye makundi makubwa waliokatwa ni ndugu mheshimiwa Benard Membe na Mh Edward Lowasa.
Baada ya kukatwa hao mjadala kidogo umepunguza mvutano. Nitawajuza kinachoendelea zaidi. Asanteni.
 
nawapongeza wabunge wa ccm watakuwa wamepata mtu sahihi wa kuwaombea kura katika majimbo,
 
Kwenye hiyo clip Mh JK anaonekana kachoka sana. Ni mfungo tu au kuna zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…