Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

kati ya majizi 37 na mwaminifu 1 ( mako),1 kati ya majizi 37 au mwaminifu 1 atawakilisha majambazi menzie.mwaminifu naye akiwakilisha menzie naye ni jambazi
 
CC hakuna anae enda na simu na kutoka toka hakuna hivyo hizo taarifa zenu za kakatwaa si za kweli
 
Hivi akina wasira ,ngeleja na nyalandu mbona hata tetesi za kupenya tano hakuna.
 
Leo neno amekatwa limekuwa maarufu kuliko neno fisadi kwani linaulizwa na kila mtu amekatwa na watu wanajibu kiungwana bado tunasubiri wafuturu tuwasikie amekatwa

Hapa ni style ya kimakonde tu akichimama nchale akikimbia nchale,,,akikatwa shida akiachwa shidaa patam hapooo!!!
 

Hu a yu
 
CCM msifanye kosa la kutomteua LOWASSA,Hata Vyama vya upinzani vinashupalia sana asiteuliwe kwa sababu ni Mwiba kwao. Lowassa anakubalika duniani hata Mbinguni, ndio maana hata wapinzani wa CCM wanamuogopa sana.

Leo unaandika lugha ya upole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…