namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
Team el tujipe pole tu, mi nalia tu hapa. Naelekea kula viroba walau npunguze machungu.
dah !mkuu nimeskia viroba tayari mate yameanza kunitoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team el tujipe pole tu, mi nalia tu hapa. Naelekea kula viroba walau npunguze machungu.
ok we endelea kutuhabarishasawaa mkuu
dah !mkuu nimeskia viroba tayari mate yameanza kunitoka
Wanabodi kulikuwa na kamati ya maridhiano ambayo imefanya vikao inje ya vikao rasmi kwa nia ya kufikia mwafaka kabla ya kikoa cha kamati kuu CC kuanza.
Kikao hiki wamepalulana tu hakuna mwafaka wowote uliofikiwa sasa kikao cha kamati kuu kinaanza hivyo hivyo
Sababu ya kutofikia mwafaka imesemekana ni mwenyikiti is so week in decision making anayumbishwa na majumbe hata wale wajinga wajinga
kuna mtu amesema lowassa akipita 5 bora atanipa mke wake, ndiyo nasubiri kwa hamu kweli naona muda hauendi kabisa maana nina hamu
Mmmmmmh! ngoja nimeze panadol
Huwezi toa list bila magufuli.
Hahaaa ngoja nisuke mkeka 5top (Augustino Ramadhani, Asha rose Migiro, Magufuli, Makongoro Nyerere, Mark Mwandosya .
Top 3 Augustino Ramadhani, Magufuli, Mark Mwandosya.
Na mwisho watakuwa hawa Augustino Ramadhani na mgombea mwenza Magufuli namaliza kufunga mkeka tuonane Jumapili.