Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa haa vipi patachimbika? maana kingunge kasema kama lowasa atakatwa patachimbika.
Akili Zetu Laiti Zingekuwa Zinafanana Na AVATARS Zetu Sijui Ingekuwaje!
meandu
naona ume copy na ku paste kwa kubenea
UKawa wako kimyaaaaaa,
Wanasubiri ccm mpasuane wao wapate pa kupita
Mi sijafurahishwa kabisa na hii chuki dhidi ya Lowassa.
Nilichogundua UKAWA nao wanawagombea wao CCM ambao wanawapenda...daah!!
Nilichogundua UKAWA nao wanawagombea wao CCM ambao wanawapenda...daah!!
Lowasa hakatwi na wakifanya kosa la kumkata tuu lazima pachimbike,haiwezekani yeye awe mhanga wa Ufisadi peke yake.