Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu sintofahamu nikubwa sana hivi sasa hapa Dodoma,wanasema majibu mpaka usiku wa saa 3..polisi wakumwaga
 
Nilichogundua UKAWA nao wanawagombea wao CCM ambao wanawapenda...daah!!
 
Lisaa limoja lijalo kamati kuu ya ccm kumaliza kikao chake kutoa nafasi ya kikao cha baadae hapo saa nne.


ni saa kumi na mbili jioni polisi wakiwa kwenye magari, falasi pamoja na magari ya washawasha yametanda mitaani, hali inaonyesha mji wa dodoma kuna hali ya tahadhari polisi ni wengi mno


Kuna kitu kinaenda kutokea muda mfupi ujao, wajumbe wa mkutano mkuu wamejaa katika viwanja vya jengo la white house

Ni dodoma isiyo na tofauti na somalia muda huu


stay turned
 
Nilichogundua UKAWA nao wanawagombea wao CCM ambao wanawapenda...daah!!

kwenye mchakato hata kama uko upande mwingine lakini kwa ccm lazima kuna watu utataka wapite ile iwe ahueni kwako ...mbona wewe una mahaba na zitto kwenye kambi ya upinzani...siasa sio uadui ...mi nataka wamkate edo hela zake zitatusumbua sana team ukawa kwa sasa tu keshanunua media zote
 
Back
Top Bottom