Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mamvia akatwe na tuletewe mzalendo wetu, full stop.
 
Sijui wale masheikhe na wachungaji waliomtangaza kuwa ni mpakwa mafuta wa Bwana wataficha nyuso zao wapi.
 
Alisema akikatwa patachimbika sasa amekatwa polisi wanataka waone panachimbikaje hapo
 
Lakini mbona Mangula m/mwenyekiti wa hicho chama alishasema wale wote 6 waliofungiwa mwaka mzima kwa kukiuka taratibu wasitarajie kuingia tano bora? Hadi sasa:
1. Makongoro
2. Mwandosya
3. Asharose Migiro
4. Jaji Augustino

Na kwa taarifa yenu...... Mama wa Taifa ndani ya Dodoma, kushuhudia mwanawe akipendekezwa kupeperusha bendera ya chama chao!!
 
Bado mtifuano ni 0 - 0 na muda wa mapumziko kwa ajili ya kufuturu, tuwasiliane saa 2.
 
wameisha sema itakavyokuwa na iwe lazima ccm ya nyerere irudi
 
CCM ya leo haina ubavu wa kuchukua maamuzi magumu. Imebakiza wapiga domo tu. Nape Nnauye upo???
 
Lakini mbona Mangula m/mwenyekiti wa hicho chama alishasema wale wote 6 waliofungiwa mwaka mzima kwa kukiuka taratibu wasitarajie kuingia tano bora? Hadi sasa:
1. Makongoro
2. Mwandosya
3. Asharose Migiro
4. Jaji Augustino
Na kwa taarifa yenu...... Mama wa Taifa ndani ya Dodoma, kushuhudia mwanawe akipendekezwa kupeperusha bendera ya chama chao!!

umesau mtu muhimu sana MAGUFULI
 
Tunakitaka chama chetu kwasababu sie ni wengi
 
Back
Top Bottom